Mkuki Na Nyota Publishers Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu - Online indir

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu


Mkuki Na Nyota Publishers

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi.

indir
Türler:
dil:

Baskı Detayları

Yazar

Mkuki Na Nyota Publishers

İsbn 10

9987083692

İsbn 13

978-9987083695

Yayınevi

Mkuki Na Nyota Publishers

dil

Savahili dili

Boyutlar ve boyutlar

15,2 x 2,4 x 22,9 cm

Gönderen Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu

3 Haziran 2020

pdf
kf8
fb2

Son kitaplar